![]() |
Vikosi vya Jeshi la Kenya vikisonga mbele. Picha ya Daily Nation. |
Majeshi ya Kenya yakienda Liboi, karibu na mpaka wa Somalia tayari kwa mapambano dhidi ya makundi ya waasi wa Somalia yakiongozwa na kikundi cha Al-Shabaab.
Tayari maguruneti mawili yameshalipuka katikati ya jiji la Nairobi na watu kadhaa kujeruhiwa huku ikiripotiwa mtu mmoja kufariki dunia.
No comments:
Post a Comment