NYOTA wa R&B, Keyshia Cole amerudia kuzungumzia mipango ya sherehe za harusi yake itakayofanyika kwenye kitongoji cha Hawaii. Aliyasema hayo katika kipindi chake; TV show.
Keyshia, 29, anasema....nilikuwa na nyota wa kikapu wa Cleveland Cavaliers, Daniel Gibson wikiend na akaniambia maneno matamu baada ya kugombana miezi minne iliyopita.
Nyota huyo aliwaambia pia mashabiki wake, "Anataka tufunge ndoa ya 'kufuru' na anaandaa utaratibu wa kuleta wazazi wake hapa. Amenipa kitu 'baab kubwa' siwezi kusahau...ananipenda! Nimefurahi sana!"
Sherehe za harusi hiyo zitaonyeshwa moja kwa moja kupitia kipindi cha Cole's reality TV show cha Family First, kinachoanza mapema February. Mwanamuziki huyo kwa sasa ana watoto wawili, Daniel, mwenye miezi (10), na Gibson. Wawili hao walioana katika hafla ndogo iliyofanyika Cleveland, Ohio mapema Mei 11.
No comments:
Post a Comment